Mnamo tarehe 1 November 2022 Watumishi Housing Investment ilizindua rasmi mauzo ya awali ya vipande katika mfuko wa Faida Fund, yafuatayo ni mambo muhimu ya kufahamu kuhusu mfuko wa Faida Fund
1. Madhumuni • Mfuko huu ni mpango ulio wazi unaotoa fursa nyingine ya uwekezaji kwa Watanzania hasa wa kipato cha kati na cha chini kupitia uwekezaji katika vipande ili kupata mapato shindani kupitia ukuaji wa mitaji. • Kutengeneza utamaduni wa kuwekeza katika Masoko ya Fedha na Mitaji.
2. Aina ya Mfuko .Ni Mfuko wa uwekezaji wa pamoja unaotoa fursa ya uwekezaji unaokua pamoja na kujitoa katika uwekezaji pasipo na gharama yoyote
3. Nani Anaruhusiwa Kuwekeza Mfuko huu uko wazikwaWatanzania naWakazi waliopo ndani na nje ya nchi, unahusisha watu binafsi (ikijumuisha watoto), na wawekezaji wasio watu binafsi kama Mifuko ya Pensheni, Mabenki/Mashirika Taasisi za serikali, Mamlaka za Udhibiti,Vyombo vya ulinzi na usalama, Asasi zisizo za kiserikali na Mashirika mengineyo n.k.
4. Sarafu ya Msingi .Aina ya Fedha itakayotumika ni Shillingi ya Kitanzania (Tsh.) tu.
5. Kiwango cha chini cha uwekezaji Kiwango cha Uwekezaji itakuwa kama ifuatavyo: • Kiwango cha Awali cha Uwekezaji ni kuanzia Tsh 10,000/= • Mauzo yanayofuata baada ya mauzo ya awali ni kuanzia Tsh 5,000/=
6. Kiwango cha juu cha Uwekezaji ,Hakuna kiwango cha juu cha kuwekeza.
7. Matumizi ya Fedha za Uwekezaji Fedha hizo zitawekezwa kwenye Masoko ya Fedha na Mitaji yenye kiwango cha chini cha hatari za uwekezaji.
8. Umiliki wa Vipande ,Umiliki wa mtu mmoja na umiliki wa pamoja unaruhusiwa katika mfuko huu. Hata hivyo, umiliki wa pamoja hauzihusu taasisi/kampuni.
9. Thamani ya kipande ,Thamani ya mwanzo ya kipande ni Tsh 100/=. Hii itatumika wakati wa mauzo ya awali na baada ya hapo kipande kitauzwa kulingana na thamani halisi.
10. Uwazi, Mfuko utangaza thamani halisi ya kwanza ya mfuko (Net Asset Value) katika kipindi kisichozidi siku 10 za kazi tangu kufungwa kwa mauzo ya awali na baadaye itatathimini na kutangaza kila siku ya kazi.
11. Ukwasi, Uuzaji wa vipande utafanyika kila siku baada ya mienzi mitatu tangu kumalizika kipindi cha mauzo ya awali. Mfuko utatuma malipo ya mauzo ya vipande ndani ya siku tatu za kazi baada ya kupokea maombi. katika Makao Makuu ya Watumishi Housing Investments. Fedha za mauzo zitatumwa moja kwa moja katika akaunti ya benki ya mwekezaji au simu ya mkononi iliyosajiliwa.
12. Tozo la kujiunga na kujitoa: Mwekezaji hatotozwa gharama yeyote ya kujiunga au kujitoa katika mfuko
13. Sera ya Uwekezaji Mfuko utawekeza katika masoko ya fedha kwa asilimia 100%. Kiwango cha uwekezaji katika masoko ya fedha na Dhamana kitalenga kupata mapato makubwa katika soko. 14. Kigezo ,Kiwango cha riba cha Hati Fungani za Serikali za miaka mwili.
15. Ulinzi wa mtaji: Lengo kuu ni kulinda mtawanyo wa uwekezaji ili kutoathiri thamani ya vipande huku mtazamo mkuu ukiwa ni kipato kinachotokana na riba bila hatari zisizokuwa na ulazima. 16. Muda wa kuendesha Mfuko Mfuko huu ni wa kudumu kwa mujibu wa Waraka wa Makubaliano.
17. Faida za Kikodi Kwa mujibu wa sheria za nchi, mgawanyo wa mapato ya Mfuko yamesamehewa kodi ya mapato kwa wawekezaji.

Last edited: