INTRO
Aspire to be a future billionaire? these are some of the industries you should consider joining
Being born in Africa is not a disadvantage especially in our time, ujue shamba ambalo bado halijalimwa na lina rotuba lina potential kubwa kuliko shamba ambalo tayari limeshaanza kulimwa kwa muda mrefu, AFRICA is a growing economy and with a growing economy carries a potential for success to its participating beyond what an average man could comprehend
While my list is not exhaustive but nataka nikupe picha ya nini kinawezekana na kama ukiwa tayari uanze kijiposition vilivyo ili kuwa part of history
Almost all the industry has the potential to make one a billionaire but this industries will produce more of them in number.
THE FUTURE IS ALWAYS UNPREDICTABE but kwa kuangalia the presence na trend ya jinsi mambo yanavyoenda tunaweza kubashiri with a level of certainty ni nini kitatokea siku za usoni kwa hiyo nimetengeneza list based on my observation na pia kwa kuangalia hatua ambazo nchi ambazo zilianza kama sisi zilipita hatua gani na nini kilitengeneza billionaire wengi so lets dig in........
1)FINANCE AND INVESTMENT
arguably this is unbeatable billionaire minting machine, wakati MPESA inaanza hakuna aliyewahi kuwanza kuwa siku moja mobile money itakuwa kuwa a billion industry lakini looking back now tunaona how mobile money imebadilika from unknown to became a industry that is processing trillion of money annually
Worldwide finance na investment ndio inaongoza kwa kuwa na billionaire wengi, so am predicting kwa miaka ijayo watu ambao watajihusisha na suala la finance kutoa services au kujihusisha na invesment they will likely emerge as billionaire just think about TZ ni moja kati ya sehemu ambayo unaweza kupata ROI ya 15.95% by default while carrying a very minimun risk, so for a very aggresive investor kuna potential ya kupata more than 100% ROI per year or more than that, so kama uko kwenye hii industry keep explore for opportunity mpaka ukute mgodi wa dhahabu.
2)REAL ESTATE
Unless we can successfully colonize mars, land itaendelea kuwa scarce na demand ya affordable housing itaendelea kuwepo, sio kila mtu ataweza kuafford kujenga nyumba au kununua nyumba, and with increasing population real estate is yet another lucrative industry that will produce billionaire, jinsi land inavyokuwa limited na population ya watu inaongezeka watu watakuwa wana solve this problem watatengeneza hela ndefu sana, kama umefuatilia real estate business in china or south korea you know what am saying , IF YOU WANT TO BE MINTED AS BILLIONAIRE GET INTO THIS INDUSTRY NOW
now hapa sizungumzii kununua kiwanja kimoja au kujenga nyumba ya wapangaji am talking about BIG PROJECT that will accommodate the african growth, nazungumzia kuotesha majenga ya kisasa kama uyoga ambayo yatakidhi mahitaji ya increasing population.
3)ENTERTAINMENT INDUSTRY
It goes without saying, entertainment is yet another billion dollar industries that has not been effectively explored, hapa ushindwe wewe tu kuna idea kibao za kukutoa kwenye hii industry na katika siku za usoni itakuwa moja kati ya dominant industry, just think ni kiasi gani an average guy anatumia kwenye entertainment this unaweza kujua how attractive this industry is.
4) AGRICULTURE
Hapa sidhani kama kuna hitaji maelezo mengi, despite ya africa kuwa na population kubwa but still mahitaji mengi tunaagiza nje, in this industry almost chochote utakachotaka kuweka mikono kinaweza kukutoa forever, iwe miwa, avocado, mahindi, mpunga, ngano you name it hata mbogamboga zinaweza kuchange jina lako forever.
5) TECHNOLOGY
Hapa the potential is almost unlimited in a world of high tech AFRICA inahitaji technologia almost katika kila kitu, yaani mpka kula tunahitaji tech, think of it like this,kilimo kinahitaji technologia, usafir finance, almost everything NEED TECHNOLOGY so its just a matter of finding a proper entrance ili ku profit from this
ITAENDELEAAA......!!!

Last edited: