YOUNG INVESTORS FORUM

Chris Y

Member YIF
Staff member
images (5).jpeg

Mfuko wa hatifungani (Bond Fund)

Mfuko huu ulianzishwa tarehe 16 Septemba, 2019. Ni mfuko wa wazi ambao kiasi kikubwa
kinawekezwa katika Hati Fungani za Serikali na makampuni binafsi. Mfuko una lengo la kutoa
gawio, kulingana na faida itakayopatikana na kukuza mtaji kwa wawekezaji wa muda mrefu.
Sifa za mfuko:

Kuna aina tatu za mpango wa uwekezaji katika Mfuko huu:
• Mpango wa kukuza mtaji;
• Mpango wa gawio kila mwezi; na
• Mpango wa gawio kila baada ya miezi sita.
Kiwango cha chini cha kuanza kuwekeza.

(a) Shilingi 50,000 kwa mpango wa kukuza mtaji;
(b) Shilingi milioni 10 kwa mpango wa gawio kila mwezi; na
(c) Shilingi milioni 5 kwa mpango wa gawio la kila baada ya miezi sita.
 
Last edited:
Top
YOUNG INVESTORS FORUM